Shirika la umeme tanzania (tanesco) limetoa taarifa ya hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya gridi ya taifa

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya gridi ya taifa kuanzia 8:22 usiku hivyo kusababisha baadhi ya maeneo nchini kukosa huduma ya umeme

TANESCO imeeleza kuwa Wataalamu wao wanaendelea na jitihada za kurejesha huduma

Shirika limewaomba uvumilivu wateja wake katika kipindi hiki ambacho huduma ya umeme imekosekana

Share: