Serikali kugharamia magojwa ya figo

"Serikali inapendekeza kuanzishwa mfuko wenye lengo la kugharamia bima ya afya kwa watu wasio na uwezo, aidha mfuko utaweza kutumika kugharamia huduma za matibabu kwa magonjwa sugu na ya muda mrefu kama vile saratani na magonjwa ya figo na huduma za dharura zitokanazo na ajali, tumepokea malalamiko mengi kuhusu watu wenye changamoto ya magonjwa ya figo na saratani na hivyo kushindwa kupata huduma za matibabu kwa sababu ya kukosa fedha, serikali imewasikiliza Watanzania hivyo itagharamia sehemu ya matibabu kwa magonjwa sugu na yale ya muda mrefu,"- Ummy mwalimu, Waziri wa Afya

Share: