Rais samia suluhu amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa na wilaya

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ambapo Peter J. Serukamba aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Singida amehamishiwa Mkoa wa Iringa

Halima O. Dendego aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa amehamishiwa Mkoa wa Singida

Julius S. Mtatiro aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru amehamishiwa Wilaya ya Shinyanga

Joshua S. Nassari aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli amehamishiwa Wilaya ya Magu

Godwin C. Gondwe aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi amehamishiwa Wilaya ya Singida

Share: