Rais joe biden bado amesisitiza kwamba hahitaji vipimo vya utambuzi kuhusu utimamu wake wa kugombea urais

Rais Joe Biden bado amesisitiza kwamba yupo 'fiti' na hahitaji vipimo vya utambuzi kuhusu utimamu wake wa kugombea akiwambia Waandishi wa Habari kwamba hata kama angefanyiwa Vipimo na Madaktari Wawili au saba wakosoaji wake wasingeridhika. 

Kwa mujibu wa kura mpya ya maoni ya CBS News/YouGov ya Juni 30, 2024, asilimia 72 ya Wapigakura waliojiandikisha wanaamini Rais Joe Biden (81) hana uwezo wa Kiafya wa kuhudumu kama Rais. 

Wapigakura wengi wanaosema asigombee wanasema Maoni yao yanazingatia Uwezo wa Biden kufanya Kampeni, Ufanisi wake Ofisini pamoja na umri wake

Share: