P Diddy ashinda kesi ya kupata dhamana, Itasikilizwa ijumaa
Mawakili wa rapper Sean "Diddy" Combs siku ya Jumanne walishinda kesi ya kupata Dhamana baada ya Kushindwa mara tatu kupata dhamana na kuachiliwa kutoka jela akisubiri tarehe yake ya Mei 5 ya kesi ya mashtaka ya biashara ya ngono.
Jaji Arun Subramanian ametaja tarehe 22 Novemba kuwa siku ya kusikilizwa kwa dhamana hiyo huku #Pdiddy akiendelea kusalia katika kizuizini huko Brooklyn tangu kukamatwa kwake Septemba 16.
Share: