Unaambiwa kwa Mwaka 2024 hakuna wimbo uliosikilizwa zaidi ya ngoma ya 'Not Like Us' ya @kendricklamar Katika mtandao wa Apple music.
Wimbo huo uluotoka kama Diss track kwa Drake mwanzoni mwa mwaka huu ,unatajwa kuwa miongoni mwa Diss track bora za muda wote, huku pia Kendrick akiingiza nyimbo 2 kwenye orodha ya nyimbo 10 zilizo sikilizwa zaidi katika mtandao huo wa Apple music.
-
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza
Share: