Nigeria: rais bola tinubu ameagiza taasisi zote za serikali kununua magari yanayotumia gesi

Agizo hili linakuja Wiki chache baada ya Serikali kutangaza mipango ya kuzindua Bajaji na Mabasi zaidi ya 2,000

Rais Bola Tinubu ameagiza Taasisi zote za Serikali kununua Magari yanayotumia Gesi pekee huku akitarajia Taasisi hizo kuanza kuondoa magari yanayotumia Mafuta kuanzia sasa. Pia Magari yote mapya ya Serikali, Majenereta, au Bajaji yatumie Gesi Asilia, Nishati ya Jua au Umeme

Agizo hili linakuja Wiki chache baada ya Serikali kutangaza mipango ya kuzindua Bajaji na Mabasi zaidi ya 2,000 yanayotumia gesi ikiwa ni juhudi za kupunguza gharama za usafiri kabla ya kufikia Mei 29, 2024

Share: