Hii ni mpya kutoka New York Marekani , kazi ya sanaa ya kibunifu iliyobuniwa na mbunifu Maurizio Cattelan wa italia kwa kuweka ndizi ukutani na kuibanwa na tape imeuzwa kwa dola milioni $6.2m za Marekani sawa na 15,968,769,360 (billion 15.9 za kitanzania)
Muanzilishi wa sarafu ya mtandaoni bwana Justin Sun aliwashinda wapinzani wengine sita katika mnada wa kuinunua kazi hiyo ya msanii wa Italia siku ya Jumatano, na kuweka wazi kuwa anakwenda kuila ndizi hiyo ambayo huenda ikaingia kwenye rekodi ya kuwa tunda ghali zaidi kuwahi kuunzwa tangu dunia kuumbwa.
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
#STBongoUPDATES #NyumbaniKwanza