Hayo yamesemwa leo Jumanne Mei 7, 2024 bungeni Jijini Dodoma na Mbunge mteule Shamsi Vuai Nahodha

"Moja ya tatizo linalotusibu hasa katika elimu yetu ya msingi mzigo wa masomo ni mkubwa sana, haiwezekani mtoto wa shule ya msingi ana masomo zaidi ya tisa, matokeo yake anabeba begi lenye vitabu na madaftari utafikiri anakwenda kwenye mafunzo ya kijeshi, tupunguze idadi ya masomo," - Shamsi Vuai Nahodha

Hayo yamesemwa leo Jumanne Mei 7, 2024 bungeni Jijini Dodoma na Mbunge mteule Shamsi Vuai Nahodha wakati akichangia 

Makadirio ya mapato na matumizi ya wizara ya elimu, sayansi na teknolojia kwawaka wa fedha 2024/2025.

Share: