Mrembo Angarni ashinda taji la umiss ufaransa akiwa na miaka 34

Mrembo Angarni ashinda taji la umiss ufaransa akiwa na miaka 34

Angarni-Filopon ametawazwa Mshindi wa Miss France 2025 baada ya Sheria kubadilishwa tangu mwaka 2022 kuruhusu Wanawake wenye umri wa miaka zaidi ya 24, Wanawake walioolewa na Kinamama kushiriki.

Shindano hilo ambalo lilianzishwa tangu 1920, hapo awali liliwatazama Watu wenye umri zaidi ya miaka 24 kuwa Wazee sana kuwakilisha ishara ya urembo wa kike, dhana hiyo imebadilishwa na Angarni-Filopon.

“Nilijiambia kuwa uzoefu huu ungekuwa mzuri lakini ilikuwa mbali sana kichwani mwangu na kujiambia kwamba nitashinda.” – amesema Angarni-Filopon.

Share: