ST Bongo
ST Bongo
Image
ST Bongo
  • Home
  • Burudani
  • Matukio
  • Uchumi
  • Siasa
  • Teknolojia
  • Kimataifa
  • Mr Right Show
  • TV Shows
  • About Us
  • Contact

Mr Beast akishirikiana na Amazon wamejenga mji maalumu wa michezo Toronto

Mr Beast akishirikiana na Amazon wamejenga mji maalumu wa michezo Toronto
  • by Godluck Mwanga
  • December 13, 2024 05:27

MrBeast na Amazon wametumia dola milioni 14 kujenga jiji maalum huko Toronto kwa ajili ya "Beast Games" zitakazozinduliwa kwenye Amazon Prime Video tarehe 19 Disemba.

Mashindano haya yatashirikisha washindani 1,000 ambao watashindania tuzo kubwa ya dola milioni 5, na kufanya kuwa moja ya michezo ya kidigitali yenye tuzo kubwa zaidi kwenye historia ya utangazaji wa mtandaoni.

Share:
Image

Related Post

MADAGASCAR YAWEKA KATAZO LA KUTOKA USIKU KUFUATIA MAANDAMANO
  • September 27, 2025 09:55

MADAGASCAR YAWEKA KATAZO LA KUTOKA USIKU KUFUATIA MAANDAMANO

DRC NA RWANDA ZAKUBALIANA KUANZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA AMANI
  • September 25, 2025 09:58

DRC NA RWANDA ZAKUBALIANA KUANZA UTEKELEZAJI WA MPANGO WA AMANI

RAIS WA COLOMBIA ASEMA MASHAMBULIZI YA MAREKANI DHIDI YA BOTI ZA DAWA ZA KULEVYA NI  'KITENDO CHA DHULUMA'
  • September 25, 2025 09:57

RAIS WA COLOMBIA ASEMA MASHAMBULIZI YA MAREKANI DHIDI YA BOTI ZA DAWA ZA KULEVYA NI 'KITENDO CHA DHULUMA'

TRUMP ADAI HUJUMA TATU WAKATI WA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA
  • September 25, 2025 09:54

TRUMP ADAI HUJUMA TATU WAKATI WA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA

RAIS WA SOMALI ASEMA AMENUSURIKA KIFO KWENYE MAJARIBIO KADHAA YA AL-SHABAB
  • September 24, 2025 07:35

RAIS WA SOMALI ASEMA AMENUSURIKA KIFO KWENYE MAJARIBIO KADHAA YA AL-SHABAB

TRUMP: UKRAINE INAWEZA KUYAKOMBOA MAENEO YAKE YOTE YALIYOTEKWA NA URUSI
  • September 24, 2025 07:09

TRUMP: UKRAINE INAWEZA KUYAKOMBOA MAENEO YAKE YOTE YALIYOTEKWA NA URUSI

Follow Us

Image

About Us

208 Mwai Kibaki Road, Building No. 199 Mbezi Beach, Dar Es Salaam

Call : +255 769 404 070

Email: sales@qigroup.tz

Category

  • Burudani
  • Matukio
  • Uchumi
  • Siasa
  • Teknolojia
  • Kimataifa

Contact Us

  • About Us
  • Contact Us
  • Terms and Conditions
  • Privacy Policy

Weekly NewsLetter

Subscribe to our newsletter to get latest news and exclusive updates.

Copyright ©2025 ST Bongo. All Rights Reserved.