MISS WORLD TAYARI AMEWASILI TANZANIA KWAJILI YA ZIARA YA UTALII HAPA NCHINI

Tanzania haitakuwa na mshiriki katika mashindano ya Miss World 2025 — kutokana na ripoti rasmi kuwa Tracy Nabukeera, aliyekuwa Miss Tanzania 2023, ametangaza kuvunja masharti ya ushindani huo. Mada ya sababu imewekwa wazi

Miss Trace Aligundua kukosekana kwa unga mkono, mawasiliano na maandalizi ya kutosha kutoka kwa wasimamizi wa shindano la kitaifa, hivyo hakuona ana uwezo wa kumwakilisha nchi kwa kiwango kinachostahili.Waandishi wengi kama The Citizen, KBC, na SwahiliTimes wameripoti kitendo chake cha kujitoa kuwa “shock announcement” na kuleta mjadala kuhusu uendeshaji wa mashindano ya urembo nchini Pia, orodha ya nchi zilizojiondoa rasmi katika Miss World 2025 inajumuisha Tanzania kati ya mataifa Tanzania kati ya mataifa mingine  .


Tunayo furaha kubwa Watanzania na hasa wadau na wapenzi wa mambo ya mitindi na urembo  kwa taarifa hii ,Miss Africa 2025 Hasset Dereje tayati amewasili katika viwanja vya ndege vya Julias Nyerere leo akiwa amepokelewa na mkurugenzi wa Ukuzaji na sanaa Edward Elias Buganga.



Hasset ni mrembo kutoka nchi ya Ethiopi alishirikika nafasi ya pili katika mashindano ya dunia yaliyofanyika Mei 30 nchin India.

Share: