Bondia mkongwe mwenye heshima kubwa kwenye masumbwi Mike tyson licha ya kupigwa katika pambano lake dhidi ya Jakepaul amefunguka kuwa hajutii kurejea ulingoni kwa mara yake ya mwisho
Tyson ameeleza kuwa alikaribia kupoteza uhai mwezi june ,na kulazimika kubadilishiwa damu mara 8, huku akipoteza sehemu kubwa ya uzito wake, hivyo kwake ni furaha na ushindi baada ya kupigana na kuweza kurudi ulingoni licha ya kupoteza pambano hilo.
Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza #trending
Share: