Bondia Miketyson baada ya kuzichapa na Jakepaul na kupoteza katika pambano hilo lililoweka rekodi ya kutazamwa na watu wengi, sasa nyota huyo kugeukia mchezo wa mieleka kuzichapa na kaka wa mpiganaji Jake Paul loganpaul ambae ni mpiganaji wa mieleka.