Mfalme wa Uingereza King Charles kuja na mpango kuunda kizazi kisicho tumia sigara "kizazi kisicho na moshi" Charles ana mpango wa kuzuia uuzaji wa tumbaku kwa watoto wa umri fulani kwa maisha yao yote.
Akizungumza na Bunge, Charles alisema: “Serikali yangu itaanzisha sheria ya kuunda kizazi kisicho vuta sigara kwa kuzuia uuzaji wa tumbaku ili watoto walio na umri wa miaka kumi na nne au chini wasiuziwe sigara, na kuzuia uuzaji wa sigara za kielektroniki kwa watoto.”
Share: