Unaambiwa rapper Lildurk bado anaendelea kujikuta pabaya , mara baada ya mahakama kuwasilisha sehemu ya mistari yake aliyoimba katika ngoma ya Wonderful Wayne aliyoshirikiana na Babyface Ray mwaka 2022 na kuitaja kutumika kama ushahidi mahakamani kwenye kesi inayomkabili ya kutaka kumuua Quando Rondo.
Rapper huyo ambe ni mmiliki wa hitsSong ya All My Life kutoka Chicago Marekani na member wa kundi la OTF alikamatwa mapema mwezi uliopita kwa kuratibu mauaji ya rapper Quando Rondo na baada ya kushindwa walimuua mpwa wake kama sehemu ya kisasi kwa mauaji ya rapper mwenzake King Von, aliyefariki kwa kupigwa risasi kwenye ugomvi na kundi la Quando Rondo.
Share: