Maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru wa tanzania bara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrence Mafuru pamoja Makamishna wa Tume ya Mipango wakati wa Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara pamoja na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 9 Desemba, 2023.

"Katika kutakiana heri ya kuadhimisha miaka 62 ya Uhuru rai yangu kwenu na kuwasihi tuendelee kudumisha umoja na mshikamano wetu ili tuweze kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na maarifa zaidi katika jitihada za kustawisha jamii ya watanzania na kuimarisha taarifa kwa ujumla." - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Share: