Tafiti mbalimbali zinaeleza kuwa upo uwezekano wa love bite kusababisha Kiharusi (stroke)ambapo Kupatwa na jeraha kwenye mshipa wa carotid shingoni unaosafirisha damu yenye oksijeni kutoka kwenye moyo kwenda kwenye ubongo.
Kwa mujibu wa Tovuti ya ABC News Mwaka 2010 katika hospitali ya Middlemore katika jiji la Aukland nchini New Zealand aliripotiwa mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 44 akiwa amepoozakatika mkono wa kushoto ambapo madaktari waligundua kuwa kulikuwa na chembechembe ya damu kwenye mshipa wa damu upande wa kulia wa shingo yake chini ya mahali ambapo bado aliendelea kuonyesha alama ya ‘love bite’.
Share: