LeBron James hajapenda ushindi wa Donald Trump aandika ujumbe mzito

LeBron James aandika ujumbe mzito ambao kamuandikia mtoto wake mara baada ya ushindi wa Donald Trump.

Kupitia ukurasa wake wa instagram mwanamichezo Lebron James aweka wazi hisia za moyo wake kwakutofurahia ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi huu wa mwaka 2024 Lebron James ameyaandika haya

"NZITO JUU YA MOYO & AKILI YANGUHUYU NDIYE PRINCESS WANGU πŸ‘ΈπŸΎ!! NAAHIDI KUKULINDA KWA KILA NILICHO NACHO NA MENGINEYO!! HATUHITAJI MSAADA WAO! 🀎🀎🀎🀎🀎🀎🀎"



Share: