KUNDI MOJA LIMEUWA  WANAJESHI 200 NCHINI BURKINA FASO

Kwa mujibu wa kundi moja la wanamgambo linalofuatilia harakati za mitandaoni za wanamgambo wa kiislamu,

Shirika la habari la Reuters halikuweza kuthibitisha taarifa ya kundi hilo nayo serikali ya Burkina Faso haikujibu ombi la shirika hilo la habari la kutoa tamko kuhusiana na madai hayo yalio toka kwa kundi la Jama'a Nusrat ul-islam wa al-Muslimin, JNIM, lilisema kwamba limewauwa wanajeshi 60 ila leo hii limeongeza idadi hiyo nakufikia  wanajeshi 200 Kuwawa,nchini Burkina faso.


Kundi hilo wanamgambo huko Afrika Magharibi lililo na mafungamano na kundi la al-Qaeda, limesema limewauwa wanajeshi 200 wa Burkina Faso katika kambi moja ya kijeshi wiki hii.

Share: