Kulingana na tafiti wa ulifanywa na Taasisi ya Kitaifa ya Utafiti wa Afya na Utunzaji National Institute for Health and Care Excellence huko Uingereza umebaini kuwa kufanya kazi Ukiwa nyumbani hutoa faida kubwa za kiafya kuliko kuwa eneo la kazi kila siku.
Inaelezwa kuwa watu wanaofanya kazi nyumbani kwa ujumla hudumisha mazoea ya kula vizuri, hupata viwango vya chini vya mkazo (strees) ,msongo wa mawazo na kupunguza shinikizo la damu.
Wafanyakazi wa siku zote kazini mara nyingi hutajwa kuwa wapo tayari kufanya kazi kwa muda mrefu, ikiwa ni pamoja na kufanya kazi siku za wikendi jambo linalo changia kiasi kikubwa kupata changamoto za kiafya.
Share: