Kutoka instagram ya mrembo Kim kardashian ameingia kwenye headlines baada ya picha zake mpya alizo share kwenye mitandao ya kijamii kumuonesha akiwa kwenye mapozi tata na Roboti waliozinduliwa hivi karibuni na Billionea Elon Musk wenye uwezo kama binadamu na akili bandia Tesla’s Optimus Robot.