Karume: mwanamke anatakiwa kupewa fursa katika masuala mbalimbali ya kijamii na kisheria

Wakili Fatma Karume amesema Mwanamke anatakiwa kupewa fursa katika masuala mbalimbali ya Kijamii hasa upande wa Kisheria badala ya kupewa nafasi kwa uchache kama ilivyo sasa

Ameongeza “Sheria bado hazijaweka Mfumo rafiki kwa Wanawake kuingia kwenye nafasi za maamuzi. Inapotokea Rais amemchagua Mwanamke mmoja, hiyo haitasaidia kubadilisha maamuzi, tukianza kutunga Sheria lazima tubadilike na tuwape Wanawake fursa.”

Share: