JohnCena kupigana pambano lake la mwisho February 2025

Mwanamieleka maarufu zaidi duniani na muigizaji kwa sasa Johncena baada ya kutangaza kustaafu mwakani 2025 sasa huenda wapenzi wa mchezo hu waka mmiss zaidi baada ya kuthibitisha kuwa atapigana pambanao lake la mwisho kwenye mchezo huo mapema mwezi wa 2 mwaka 2025.

Cena aliyejizolea umaarufu mkubwa (haswa kwa watoto wa 2000) kutokana na style yake ya "U Can't See Me" katika mapigano kwenye mchezo huo wa WWE ,Safari ya mwisho itaanza Januari 6, 2025, kabla ya pambano lake la mwisho.

Tufuatilie kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi ikumbatie @STBongoTV.


#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza

Share: