Jeshi la israel lasema "limelenga shabaha" za hezbollah nchini lebanon

Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi anasema China "inaunga mkono kikamilifu" suluhisho kati ya mataifa mawili huko Gaza, akiunga mkono wito uliotolewa hivi karibuni katika mkutano wa kilele wa nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Kiislamu mjini Riyadh.

Pia alisema jumuiya ya kimataifa "lazima ichukue hatua sasa tena madhubuti kukomesha maafa ya kibinadamu".

Awali, alifahamishwa kuwa jumuiya ya kimataifa ilihitaji kuchukua jukumu la kuizuia Israel.

Katika hotuba yake ya ufunguzi, Wang Yi pia aliwaambia viongozi hao wa Kiarabu na Kiislamu: "Tushirikiane ili kutuliza hali ya Gaza na kurejesha amani katika Mashariki ya Kati haraka iwezekanavyo."

Share: