Guinea: maafisa wa jeshi wamemkamata mwandishi wa habari wa ufaransa

Vyanzo vya Habari vinasema Mwandishi huyo alikuwa nchini humo kwa siku kadhaa

Thomas Dietrich Mjini Conakry alipokuwa akichunguza madai ya ufisadi katika Kampuni ya Serikali ya Mafuta (SONAP) huku kukiwa na ripoti za kuzorota kwa hali ya Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini humo

Vyanzo vya Habari vinasema Mwandishi huyo alikuwa nchini humo kwa siku kadhaa akichunguza namna baadhi ya Maafisa wa Serikali ya mpito ya Guinea walivyopata utajiri wao wakihusishwa na Kampuni ya SONAP

Share: