Elon Musk alitumia Billion 524 kumsaidia Donald Trump kushinda uchaguzi
Bilionea Elon Musk alitoa zaidi ya dola milioni 200 ambazo ni sawa na 524,098,000,000 Billion 524 za kitanzania kwa PAC (political action committee) yake kuu inayomuunga mkono Trump ili kusaidia mchakato wa mteule huyo wa urais kuchaguliwa na kushinda uchaguzi.
Musk alikua mshirika wa karibu na wa wazi kwa Donald Trump, ambae kwa sasa ni Rais mteule anayetarajiwa kuanza majukumu yake kama rais wa 47 wa Marekani January 20, 2025.
Share: