Dunia imenifanya nisipende kupokea zawadi kutoka kwa watu

Moja ya chapisho lililo chukua headlines kutoka kwa Burnaboygram ni chapisho lake kupitia insta story yake akieleza kutopenda tena kupokea zawadi kutoka kwa watu wengine, na sasa zawadi pekee atapokea ni kutoka kwa familia yake tu.



Kwenye tafsiri ya kiswahili Burna ameeleza kwamba ;

"Ulimwengu huu ulinifanya kutopenda kupokea zawadi kutoka kwa watu lakini napenda kutoa zawadi. Kuhusu Wanafamilia, hakika nitakubali zawadi zako..."

Je wewe ni miongoni mwa watu msiopenda kupokea zawadi kutoka kwa watu wengine?


Share: