Drake anataka fidia ya zaidi ya billion 5 kisa Not like us ya Kendrick Lamar

Drake anataka fidia ya zaidi ya billion 5 kisa Not like us ya Kendrick Lamar

Unaambiwa @champagnepapi Drizzy Drake anaripotiwa kutaka zaidi ya U$D Million 2 sawa na 5,280,000,000 (Billion 5) kama fidia katika kesi yake dhidi ya record lebo yake ya UMG na Spotify!


Rapper huyo tayari ameshafungua kesi mbili mpaka sasa akizituhumu kampuni hizo mbili kumika kumchafua na kusambaza habari za uongo kupitia wimbo wa @kendricklamar Not Like Us na anataka kabisa kushinda vita hii.

Share: