Dkt. Tulia amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi Mhe. Dkt. Abdallah Possi.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 22 Novemba, 2023 amewasili Jijini Geneva, Uswisi kuanza utekelezaji wa majukumu yake ya Urais wa IPU. Dkt. Tulia amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi Mhe. Dkt. Abdallah Possi.
Share: