
Msanii Wa Nigeria #Davido Ametangaza kutoa kiasi cha Naira milioni 300 sawa na TZS Millioni 470.1/= kusaidia watoto yatima Lakini Pia Walioathirika Na Matumizi Ya Dawa Za Kulevya nchini Nigeria.
“Once again my birthday this year we Donating to ophanages and a charity that helps young people stay away from drug abuse & addiction. This year is N300m” - Davido
“Kwa Mara Nyingine Tena Siku Yangu Ya Kuzaliwa Mwaka Huu Tunakwenda Kuchangia Kwa Watoto Yatima Pamoja Na Taasisi Za Kusaidia Vijana Wenye Umri Mdogo Kuacha Matumizi Ya Dawa Za Kulevya, Na Mwaka Huu Ni Naira Milioni 300” - Davido
Hii Sio Mara Kwa Kwanza Kwa Davido Kufanya Hivi Kwani Amekuwa Akifanya Hivi kama mchango wake wa kila mwaka Ifikapo Katika Siku Ya Kumbukumbu Ya Kuzaliwa Kwake (Nov 21)
Pia Davido Anatarajia Kufanya Tamasha Lake La kusherehekea Birthday Yake (Novemba 21) Mwaka Huu Katika Ukumbi Wa State Farm Uliopo Mjini Atlanta, Georgia Nchini Marekani.