Charles kahariri kuwa mkuu mpya wa majeshi nchini kenya

Jenerali Kahariri, ambaye anachukua nafasi ya Francis Ogolla aliyefariki dunia Aprili 18

Rais wa Kenya, William Ruto amempandisha cheo na kisha kumteua Charles Kahariri kuwa mkuu mpya wa majeshi wa nchi hiyo.



Jenerali Kahariri, ambaye anachukua nafasi ya Francis Ogolla aliyefariki dunia Aprili 18 katika ajali ya Helikopta, alikuwa na cheo cha Luteni Jenerali na makamu Mkuu wa Majeshi wa Kenya, kabla ya uteuzi huo.


Share: