Canada: pedi zawekwa kwenye vyoo vya wanaume

Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ameagiza waajiri kutoa bidhaa za hedhi katika bafu za wanaume pamoja na vyoo vyote vya wanaume kwenye majengo ya serikali viwekewe pedi za tampons ili kuwasaidia 'wanaume' wanaopata hedhi wasipate ugumu wanapohitaji kubadilisha pedi.

Unaambiwa tayari pedi na tampons zimewekwa kwenye vyoo vya wanaume kwenye jengo la bunge. Waziri huyo amesema liwepo bango linalosema "wafanyakazi wanaopata hedhi", ili iwe sehemu ya kuondoa neno 'wanawake'. Baadhi ya mabadiliko ya sera katika nchi za Ulaya yanaathiri maeneo mbalimbali katika jamii, kuna hadi baadhi ya machapisho ya madaktari yakielezea visa vya wanawake wanaodiwa kwenda hospitalini wakiwa na maumivu ya korodani au wanaume ambao wanalalamika kuingia period muda mrefu bila hedhi kukata.

Share: