Beyonce na Jay Z vinara Tuzo za Grammy

Beyonce na Jay Z vinara Tuzo za Grammy

Baada ya kupata nomination 11 mwaka huu kwenye tuzo zenye heshima kubwa duniani Grammy, Queen Bey Beyonce ameandikisha rekodi ya kuwa mwanamuziki wa kwanza kuwa na nomination nyingi (kuchaguliwa mara nyingi) kwenye historia tangu kuanzishwa kwa tuzo hizo.

Mpaka sasa Beyonce ana jumla ya nomination 99 akifuatiwa kwa ukaribu na mume wake rapper Jayz Kwenye orodha ya watu 9 waliochanguliwa mara nyingi katika kuwania tuzo hizo tangu miaka 65 iliyopita zilipo anzishwa.



Share: