Baltasar Engonga aachiliwa huru aungana na familia yake

Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Kifedha la Equatorial Guinea (ANIF) #EngongaBaltasar anatajwa kuachiwa huru na kuungana na familia yake.

Video clip ya siku za hivi karibuni inayomuonesha mwanaume huyo akiwa nyumbani kwake ,inathibitisha uvumi wa taarifa ya kuachiliwa kwake kutoka mikononi mwa maafisa wa usalama waliokua wakimshikilia kwa uchunguzi juu tuhuma zinazo mkabili ikiwemo matumizi mabaya ya ofisi ya umma na ushiriki wake katika kurekodi video za ngono.

Engonga ambae pia ni mpwa wa Rais Teodoro Obiang Nguema, wa Equatorial Guinea anatuhumiwa kwa kurekodi zaidi ya video 400 akifanya mapenzi na wanawake tofauti tofauti ikiwemo watu wa karibu na kiongozi mkuu wa nchi.


Shiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uwe sehemu ya maamuzi ya mtaa/Kijiji chako kwa maendeleo ya ustawi wa eneo lako.

Cc | @ortamisemi @mohamed_mchengerwa

#MitaaInaamua #Novemba27 #NovembaYaMitaa


#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza

Share: