Ayra starr atangaza ujio wa albumu yake mpya

Mwanamuziki Kutoka Label ya mavin ayra starr ametangaza ujio wa Album yake ambayo ameipa jina la 'The Year I Turned 21 ambapo amepanga kuitoa May 31 mwaka huu 2024

Kwenye Album hiyo ya Ayra starr amewashirikisha wasanii kama asake, giveon, sainttmilar, coco jones na anitta ikiwa na nyimbo kumi na nne (14) ndani yake

Hii inakuwa Album ya pili ya ayra mara baada ya kuachia Album yake ya kwanza 19 & Dangerous ambayo ilifanya vizuri sana baada ya kuachiwa tu August 6 mwaka 2021

Share: