Sio jambo lilio zoeleka katika utawala wa marahisi wa nchi za africa ,hasa katika swala la ulinzi wa raisi wa kiume kulindwa na walinzi wa kike ,kikosi cha walinzi wa Raisi wa taifa la Libya kilikuwa tofauti sana...
Kumekua hakuna mengi yaliyosemwa kuhusu , kikosi cha walinzi wa kike ambao walikuwa wakimlinda na kufuatana na aliyekua raisi wa Libya Muammar Gaddafi.
Katika uongozi wake, Muammar Gaddafi alikuwa akilindwa na kikosi maalum cha wanawake 30. Majeshi hao walichukua viapo vya uaminifu kwa Gaddafi, pamoja na kuweka nadhiri ya ubikira.
Gaddafi aliazimia kuwa kiongozi tofauti kwa kila njia hata katika mavazi na uongozi.Alijulikana kwa kuwapenda wanawake na kiongozi huyo wa zamani wa Libya alioa mara mbili. Alikuwa na wake wawili, binti na mamia ya walinzi wa kike waliokuwa wakijihami vikali kwa bunduki... Mtangazajin wetu @officialzungu_ ametupitisha kwa uchache tu kuwahusu ndani ya F.B.I' ndani ya studio zetu ST BONGO Kwenye kipindi pendwa cha MORNINGBANTU kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa 1 kamili asubuhi hadi saa 4 kamili asubuhi.