Albert chalamila: wakati hayati ali hassan mwinyi wakati anaingia madarakani nilikuwa na miaka minne

Mimi wakati hayati Ali Hassan Mwinyi anamaliza muda wake wa uongozi mwaka 1995,mimi nilikuwa darasa la tano na wakati anaingia madarakani nilikuwa na miaka minne au mitano.

Kwa lugha nyepesi anaondoka duniani akiwa ameshapanda mbegu kwenye kizazi cha tatu. 

sisi kama wajukuu zake ambao tukikiri mbele hapa kwamba hakuna kitu tulichojifunza tutakua ni waongo kwasababu tumemuona baada ya maisha ya uongozi na kuweza kujifunza mfumo wa maisha yake ambayo kwetu imekuwa kama tunu ya uongozi na silaha kubwa katika kusaidia uongozi kwa taifa letu

Share: