Zuchu apanga kuzindua album yake na watoto kwani wao ndio wanamsupport sana

Zuchu apanga kuzindua album yake na watoto kwani wao ndio wanamsupport sana

Kutoka kwenye kiwanda cha muziki wa Bongofleva msanii @officialzuchu ametangaza tarehe 21/12 kutakuawa na listerning party ya Album yake atakayoitoa ya Peace and Money #PMAlbun na amepanga mchana kuifanya na watoto kwani anaamini wao pia ni watu wanaompa support kubwa sana katika kazi zake bila kificho.

"Nadhani sio Tena Siri Nimeamua kuachia album yangu kwanza nikianza na fanbase yangu ya watoto wanaonisaport sana bila kificho hivo nimeamua kuweka siku ya kuzindua album yangu rasmin na Watoto wangu wataokuja siku ya tarehe 21.12.2024 pale @kunduchiwetnwild

Baada ya watoto sasa usiku linaanguka Pool party sio lamchezo afu wakubwa wenzangu wote Nguo siku hiyo ni NJANO (YELLOW) na PINK ." Kaandika Zuchu



Share: