
Kupitia ukurasa wake wa Instagram kwenye Insta Stories Jay melody ameweka wazi kuwa zimebaki siku tatu tu
Siku saba zilizopita mkali jay melody alitangaza kwa mashabiki wake kuwa ataachia Album yake ya kwanza ambayo ameipa jina la "Therapy" April 26
Kupitia ukurasa wake wa Instagram kwenye Insta Stories Jaymelody ameweka wazi kuwa zimebaki siku tatu tu yeye kuachia Album yake hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi wa muziki mzuri
Album hiyo ya Jay Melody ina nyimbo 14 ndani yake na amewashirikisha Marissa, Karma, ,Ndelah Magic, Logic, na Benson hauzimi, kwenye wimbo mmoja na Msanii wakike Phina na kufanya kolabo kuwa mbili (2) tu kwenye Album hiyo
Share: