Zari atia neno kwa Baltasar wa Equatorial Guinea

Mama watoto wa msanii mkubwa Tanzania na Afrika na maanisha Diamondplatnumz ajulikanae kwa jina la Zarithebosslady baada ya kuona trending ya kiongozi wa Equatorial Guinea Baltasar Engonga amekuwa na haya ya kusema.

Kupitia ukurasa wake wa instastory zarithebosslady awafumbua macho wanawake wote kwakuwakumbusha tu wasijisahau wanaume wote ni kama Baltasar Engonga tofauti yao ni kwamba Baltsar alijirekodi na akakamatwa ila wako hajajirekodi na kama kajirekodi hajakamatwa. Kuna ukweli wowote hapa??

Share: