Zahara wa afrika kusini afariki dunia

Muimbaji Maarufu Kutoka Afrika Kusini, Bulelwa Mkutukana a.k.a zaharasa , amefariki dunia.

Star Huyo ambae alibarikiwa Kipaji Kikubwa cha Kuimba na Kuandika Mashairi, Pia Kupiga Baadhi ya Vyombo vya Muziki Ikiwemo Guitar, amefariki katika hospitali ya Jijini Johannesburg, Jumatatu usiku.

Mchumba wake Mpho Xaba alikuwa pembeni wakati Zahara (35) anapoteza maisha hospitalini hapo. Mkali huyo ambaye aliwahi kutamba na wimbo wake “Loliwe” alifikishwa hospitali wiki mbili zilizopita kwa matatizo ya Ini.

Share: