Young lunya kwenye freestyle session 6 amesema kuwa yeye ndio rapper wa kwanza kufanya vitu vingi

Young Lunya kwenye Freestyle Session 6 amesema kuwa yeye ndio rapper wa kwanza kufanya vitu vingi zaidi ya rappers wote ambao wapo kwenye industry.

"Hii ni kwa rappers wote ningependa kuwakumbusha mi wa kwanza, msinielewe vibaya sizungumzii nani alianza, hii game ya kufokea fokea kipaza, respect all the legend ila vitu vingi mi nimefanya wa kwanza"- Young Lunya

Kwenye lines zake licha ya kusema kuwa yeye ndiye wa kwanza ila ametoa heshima kwa legends wa muziki Bongo HipHop.

Kwenye freestyle aliyowahi kushea kwenye Instagram yake mwezi mmoja uliopita alisema pia kuwa hawezi kubishana nawanaobishana Twitter akimlenga (Wakazi pamoja na Roma) ambao walimjibu kuwa hana facts za kuweza kuandika kupitia Twitter.

Share: