Lunya ameshare video mbili tofauti akiwa anarekodi verse yake kwenye wimbo huo wa pamoja ambao umepewa jina la Haujui
Rapa young lunya amevuka mipaka ya Tanzania mpaka Nigeria ambapo ametangaza uwepo wa kazi ya pamoja na DJ na Producer kutokea +234 deejay neptune.
Lunya ameshare video mbili tofauti akiwa anarekodi verse yake kwenye wimbo huo wa pamoja ambao umepewa jina la Haujui
Kupitia videos ambazo Young Lunya ameshare kupitia Instagram yake ameonekana pia Producer S2kizzy pamoja na Rapa Salmin Swaggz
Share: