Hii inaweza ikawa mpya kutoka kwa rapper wa marekani Wiz Khalifa baada ya kuamua kusimamisha show yake aliyokua anafanya huko Thailand kisa tu kuna shabiki alikua akimtunza fedha nyingi kwa kumrushia jukwaani
Wiz alitumia zaidi ya dakika moja kuzungumza jukwaani na kuonesha kukasirishwa na shabiki huyo ,huku akiwataka maafisa kukusanya.na kumrudishia fedha zote alizo mrushia jukwaani kwakuwa yeye si stripper.
__
Shiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na uwe sehemu ya maamuzi ya mtaa/Kijiji chako kwa maendeleo ya ustawi wa eneo lako.
Cc | @ortamisemi @mohamed_mchengerwa
#MitaaInaamua #Novemba27 #NovembaYaMitaa
#STBongoUPDATES #nyumbanikwanza
Share: