Wasanii waliofanya vizuri 2023 kwa mhe. babu tale

Tukiwa tumebakisha siku kadhaa kabla ya kuumakiza mwaka 2023, Mheshimiwa Mbunge na Meneja wa muziki wa WCB na Wasafi fm Babu tale ametoa orodha ya wasanii ambao wamemkosha au kufanya vizuri zaidi kwenye kazi zao kwa mwaka huu wa 2023.

Babu Tale ameitoa orodha hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameanza kwa List hiyo kwa kumtaja Mhindi wa Kusini Mbosso khan akifuatiwa na The African Princess, Zuchu na rapa pekee ambaye ametajwa kwenye orodha hiyo ni Young lunya.

Ukiachana na list hiyo pia Babu Tale ameandika kwamba anakuja na orodha ya Top 10 ya Wasanii waliofanya vizuri na vibaya pia kwenye game ya muziki kwa mwaka 2023.

Share: