Wanaume wanavaa nguo za ndani wiki nzima

Utafiti mpya umefichua jinsi wanawake na wanaume hufua nguo zao za ndani huku kukiwa na matokeo ya kushangaza kwa upande wa wanaume, wanawake wengi hufua nguo zao za ndani kila baada ya kuzivaa lakini asilimia 20% ya wanaume wa Uingereza hubadilisha tu suruali zao mara moja kwa wiki, kulingana na takwimu.

Utafiti wa hivi karibuni umebaini asilimia kubwa ya wanaume hufua na kubadili nguo zao za ndani kila baada ya wiki huku wengine wakizivaa hadi wiki 2.

Share: