Msanii wa muziki alio jinyakulia umaarufu mkubwa kwa aina ya muziki wa sengeri hivi karibuni ,Dogo pateni ndio jina analojulikana nalo hapatwa na hili

Dogo Pateni ni msanii kijana mwenye kipaji kikubwa cha mziki ameendelea kulindima  mitandaoni, kwenye vyombo vya  habari, mitaani kwa ngoma zake kali zinazo  kwenda kwa majina   umeniza wewe?, Moyo wangu, na ikiwemo  afande alio msirikisha Zuchu moja ya ma super star wa muziki kutoka wasafi Tanzania .



Baada ya kusikika kuwa Mario anataka kufanya remix ya ngoma ya Paten  inayoendelea kuzidi kuzagaa kwenye mitandao na mitaa na kwenye show zake  imeleta gumzo kuwa nyimbo hio sio yake , msanii mwenzake wa sengeri aibuka  mitandaoni na kulala mika kuwa   ule wimbi alio uimba paten sio wa paten bali ni wake Deelucktz.


Jambo hilo limezua gumzo kwa mashabikiwa wa sengeri na mziki  kwa ujumla na hivyo likatufanya tutafute uwazi wa hili, na hivyo kutoka ST BONGO Digital tumelazimika kumtafuta msanii Paten bila mafanikio ,tuliweza  kumpata meneja wa msanii paten Balalatz kwanjia ya simu ya lio fanyika na mtangazaji wetu ,meneja  alikuwa na mengi ya kuweka wazi ,hakikisha unatazama video hapo kupata Kumsikiliza meneja wake super star paten.


Share: