Diamond na zuchu ni masuper star wa muziki nchini Tanzania,Africa na ulimwenguni kwa ujumla ,wameacha mashabiki na wadau wa muziki kwenye mataa baada ya gumzo liliopo mtandaoni kuhusu maudhui ya picha ,video na zile captions zinazo husisha uwepo wa ndoa ya mastar hao,ambapo mwanaharaki mwiba ,mdakuzi wa taarifa Mange Kimambi amedai kuwa...
Ndoa ya Diamond na Zuchu ni Ndoa ya mkeka amabayo ilishafungwa miezi iliopita tena kimya kimya ,na mpaka sasa Ndoa hii haina maisha akiwa anadai kuwa talaka tatu zimemuhusu Zuhura maarufu kwa jina la zuchu.