Tyrese kufanya birthday yake ya miaka 45 zanzbar

Muigizaji na Mwanamuziki wa Marekani Tyrese Darnell Gibson maarufu ame-share clip ya ukaribisho wa kutembelea visiwa vya Zanzibar kutoka kwa vijana. Tyrese amekubali wito huo huku akisema atajumuika nao kwenye kusherehekea siku yake ya kuzaliwa (December 30).

Ifikapo December 30, mwaka huu Tyrese atakuwa anasherehekea miaka 45 ya kuzaliwa (alizaliwa December 30,1978, Tyere ametupia andiko linalosomeka "Nenda pale unaposherehekewa, Tutaonana hivi karibuni Zanzibar….. Mipango yangu ya siku ya kuzaliwa ya 45 inakuja pamoja

Share: